INATOSHA, PINGA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA

Matendo ya ukatili wa kijinsia hasa ubakaji kwa watoto wadogo hayavumiliki tena. Tusiyapuuze, tusiyafungie macho. TUYASEME, TUWAWAJIBISHE. Tutumie mitandao ya kijamii kuondoa ukatili wa kijinsia na sio kuuchochea.
#NIMIMI
#INATOSHA
#IAMHER
#HakiHainaJinsia