TAWLA Gala Dinner 2026

TAWLA Gala Dinner 2026
Spread the love

Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) tunakuletea usiku wa kipekee wa kusherehekea pamoja.

Tunawaalika Wanachama, wadau na marafiki wetu kuungana nasi katika jioni maalum ya kusherehekea mafanikio, kuthamini mchango wa kila mmoja, na kuimarisha ushirikiano unaoendelea kuleta nguvu na matokeo chanya katika safari yetu.

📅 Tarehe: 11 DECEMBER 2026
📍 Venue: TO BE COMMUNICATED

🎟️ Mchango wa ushiriki
👤 Mtu mmoja: TZS 120,000/=
👥 Meza ya watu 10: TZS 1,000,000/=

Tunaungana si kwa ajili ya kusherehekea tu, bali kwa ajili ya kuendeleza safari ya haki na kujenga mustakabali wa pamoja.

#GalaDinner2026
#HakiHainaJinsia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *