TAARIFA KWA UMMA

TAARIFA KWA UMMA

Kumekuwa na tamko ambalo linatembea mitandaoni linalohusisha TAWLA, tunaijulisha jamii ya watanzania kwamba tamko hilo sio la kweli na tunaomba lipuuzwe.

Kama chama tunaendelea kufuatilia chanzo cha tamko hilo ili kuweza kuchukua hatua za kisheria kupitia vyombo vya usalama na usimamizi wa matumizi ya mitandao.

Tunawaomba wana TAWLA kuendelea kuwa watulivu wakati jambo hili linashughulikiwa.

#HakiHainaJinsia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *